Ozone star
Member
- Aug 1, 2018
- 8
- 4
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Ungesema weka bei, sio unaongea utumbo wa bata mkuu!. Sijakulazimisha bhana, kama hujapenda pita zako.
Wewe ni DALALI uchwara,kanuni za tangazo/matangazo ya biashara ni picha,bei na maelezo ya msingi kama ukubwa wa eneo nkUngesema weka bei, sio unaongea utumbo wa bata mkuu!. Sijakulazimisha bhana, kama hujapenda pita zako.
Nina shamba huko, ila bei hiyo kwa heka umepiga sana kaka, kwa maeneo hayo heka moja haizidi laki 7.Atakaehitaji kukatiwa atakatiwa, na hadi sasa hekari moja ishauzwa bado moja na hiyo hekari moja inauzwa 4.5m.
Dalali punguza jazbaSasa hiyo heka moja niliyouza nimeuzaje rafiki?. kama una heka kwala hapa centre njoo uniuzie mkuu nikupe laki7 fasta mkuu.
Sio jazba mkuu ni kawaida tu. Nahitaji sana hilo eneo la laki7.Dalali punguza jazba
Unahitaji au unauza?Sio jazba mkuu ni kawaida tu. Nahitaji sana hilo eneo la laki7.