Shamba linauzwa

Shamba linauzwa

ester mongi

Member
Joined
Aug 14, 2015
Posts
26
Reaction score
6
Shamba linauzwa manga mkoa wa tanga lipo heka 30 ndan ya hizo heka 30 heka sita ni shamba la mikoroshi heka 24 ni miti ambayo unaweza kuchoma mkaa kila heka ni laki tano lina hati miliki halina dalali
 
Ipo tanga kama unaelekea moshi arusha au tanga ukipita mto wami mbele kidogi
 
Shamba linauzwa manga mkoa wa tanga lipo heka 30 ndan ya hizo heka 30 heka sita ni shamba la mikoroshi heka 24 ni miti ambayo unaweza kuchoma mkaa kila heka ni laki tano lina hati miliki halina dalali
Namba wapi au tunakupataje?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom