prof.elias
Member
- Nov 19, 2013
- 29
- 9
Shamba la heka 4 linauzwa kwa mil 5, lipo mlandizi mwisho kisha unaingia km 1 kwenda kwenye kijiji cha ngeta. Mawasiliano 0713626494 & 0767626494 karibuni sana.
Hiyo Million 5 ni kwa heka zote 4 au kila heka 1??Shamba la heka 4 linauzwa kwa mil 5, lipo mlandizi mwisho kisha unaingia km 1 kwenda kwenye kijiji cha ngeta. Mawasiliano 0713626494 & 0767626494 karibuni sana.
Kidogo Tu Nikuite Uje Huku Kumbe Tiyari Umeshatia Timu Mimi Nilivyomuelewa Anamaanisha Hekari Nne Zote Zinauzwa Kwa Million 5 Tu ... Ila Ngoja Aje Afafanue Kwa Undani Zaidi ... !Hiyo Million 5 ni kwa heka zote 4 au kila heka 1??
Ahsante Mkuu wangu kwa kunigundua,Kidogo Tu Nikuite Uje Huku Kumbe Tiyari Umeshatia Timu Mimi Nilivyomuelewa Anamaanisha Hekari Nne Zote Zinauzwa Kwa Million 5 Tu ... Ila Ngoja Aje Afafanue Kwa Undani Zaidi ... !
Pamoja Mkuu Ongea Nae Vizuri Anaweza Kukuuzia Hata Kwa Bei Chini Ya Hapo Hizi Biashara Ni Maelewano Tu ... !Ahsante Mkuu wangu kwa kunigundua,
Ukweli niko na interest na hizi. Yule jamaa wa Mkuranga hauzi yule, bora nimempata huyu anaeuza, amefafanua bei kua ni Zote 4 zinauzwa kwa Tshs 5mil, ni reasonable hii bei.
Ngoja nichakarike wikiend hii nimalizane nae!!
Bei ni mil 5 kwa hekari zote sio moja moja.
Mkuu habari, ulishauza shamba la mlandizi..?Kidogo Tu Nikuite Uje Huku Kumbe Tiyari Umeshatia Timu Mimi Nilivyomuelewa Anamaanisha Hekari Nne Zote Zinauzwa Kwa Million 5 Tu ... Ila Ngoja Aje Afafanue Kwa Undani Zaidi ... !
Mkuu Na Mimi Nilikuwa Mpitaji Tu ... Angalia Vizuri Mwenye Uzi Kaweka Namba Zake Muulizie ... !Mkuu habari, ulishauza shamba la mlandizi..?