Shamba linauzwa Tanga

Shamba linauzwa Tanga

laurent86

Member
Joined
Jun 12, 2014
Posts
45
Reaction score
2
Shamba linauzwa mkoan Tanga lina minazi, machungwa, linafaa kulima himogo, mahindi ni heka 30 barabara mpaka shamba linafikika misimu yote heka ni laki7, anaeataka kukodi anakaribishwa tuwasiliane 0683142500, 0714742995
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom