Homeofservices
Member
- Dec 31, 2017
- 88
- 78
Shamba linauzwa Tanga Michungwani hapo hapo Center, Lina Ukubwa WA Ekari 10, Na lina Michungwa shamba zima, wastani wa mavuno wa Machungwa ni 120,000 pieces kwa msimu. Mbegu ya michungwa hii ni ile ya Muheza.
Bei Milioni Ishirini na Tatu
Mawasiliano: 0759 534596 kwa watu ambao wapo serious kununua.
Bei Milioni Ishirini na Tatu
Mawasiliano: 0759 534596 kwa watu ambao wapo serious kununua.