Shamba linauzwa Tanga (Bombani)

Shamba linauzwa Tanga (Bombani)

nyatimm

Member
Joined
Sep 23, 2015
Posts
23
Reaction score
1
shamba lenye ukubwa wa ekar 1.5 lipo TANGA maeneo ya BOMBANI bei nafuu kabisa
 
Bombani ipo sehemu gan kwa tanga na pia weka bei au ww dalali?
 
Mbona unasema Bombani Tanga,ni vyema ukawa specific kuwa ni wilaya gani.
Maana kwa ufahamu wangu Bombani ipo wilaya ya Muheza na sio jijini Tanga
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom