Shamba Linauzwa Same - Kilimanjaro

Zorrander

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2012
Posts
438
Reaction score
233
Lipo wilaya ya Same Mkoa wa Kilimanjaro. Lina ukubwa wa ekari 100 na limepimwa. Kwa mbele limepakana na barabara kuu ya Arusha - Dar na kwa upande wa nyuma limepakana na Reli ya Tanga - Arusha. Liko km 10 kutoka stend ya mabasi kuelekea Dar (Karibu na shule ya Kirinjiko Islamic).

Kwa walio interested unaweza kunitafuta kupitia no. zifuatazo 0759610425/ 0712464621. Bei ni maelewano.
 
Kuna jamaa amenunua Ekari 25 hapo Kirinjiko..ila pakame sana duuh..hata maji sithani kama yanapatikana..!!
 
Kuna jamaa amenunua Ekari 25 hapo Kirinjiko..ila pakame sana duuh..hata maji sithani kama yanapatikana..!!

Maji pale yanaweza kupatikana ila kwa kuchimba kisima kirefu kama walivyofanya Kirinjiko Islamic
 
Hilo eneo linafaa sana kwa matumizi kama ya ujenz wa shule nk...
 
Ni sehemu kame sana labda kama kuna mtu au taasisi ina mpango wa kujenga shule,chuo au hotel.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…