Shamba lenye ukubwa wa ekari tatu linauzwa, lipo maeneo ya mwasonga baada ya Dar es salaam Z00 mita 200 kutoka mradi wa visima vya maji. Linauzwa Tsh 18,000,000 (milion kumi na nane) hakuna dalali na maongezi yapo.
kwa mawasiliano piga
0713 229 924/
0755 909 300
kwa mawasiliano piga
0713 229 924/
0755 909 300