Bei ganiShamba linauzwa liko Msowero Kilosa liko kando kando mwa mto Msowero llinafaa kwa kilimo cha umwagiliaji shamba limepimwa na lina hati ipo nyumba kwa ajili ya kuhifadhia zana za kilimo barabara ipo na baada ya km 4 tu kuna barabara ya lami mpaka Karioakoo ni masaa manne ukiondo foleni na masaa matatu mpaka Dodoma sokoni ukubwa wa shamba ni eke 65 kama unahitaji nitafute tufanye biashara.
Hujaweka contacts unatafutwaje sasa,kama hata humu hujibu bei gani?!Shamba linauzwa liko Msowero Kilosa liko kando kando mwa mto Msowero llinafaa kwa kilimo cha umwagiliaji shamba limepimwa na lina hati ipo nyumba kwa ajili ya kuhifadhia zana za kilimo barabara ipo na baada ya km 4 tu kuna barabara ya lami mpaka Karioakoo ni masaa manne ukiondo foleni na masaa matatu mpaka Dodoma sokoni ukubwa wa shamba ni eke 65 kama unahitaji nitafute tufanye biashara.
Siwezi kuanika bei ndio maana nikasema njoo inbox tufanye biashara.
Teh sasa na shamba si ungelianika inbox hukoSiwezi kuanika bei ndio maana nikasema njoo inbox tufanye biashara.
Ahaa nyie Wangese mna maneno sana imebidi nicheke tu.sio kwa kumshambulia mwenye shamba hukoMmoja amtafute pm huyu mshamba apewe bei kisha aje atuambie hapa.