kuna mwenzake alikuja last week akasema anauza pale kawawa road kwa milioni sita robo heka hajapata wateja wewe unakuja na hiyo bei aisee kata viwanja utapataHakuna hilo,Moshi naifahamu yote hilo eneo sio yale ya makazi ya Ukoo useme kwamba ni prime sana hadi ifike bei hiyo. Hilo eneo ni tupu na ni kame kabisa hakuna makazi ya watu hapo,na pia hilo eneo hakuna la ziada mpaka ifikie hiyo bei,kama hilo eneo lingekuwa ni KCMC angalau kidogo inge sound lakini sio hapo Mjororoni.
Wana bodi wasalaam,
Shamba lina uzwa lenye ukubwa wa Ekari mbili.
Lipo Moshi Mjohoroni mbele kidogo shia lipo chini ya barabara kuu lami kata ya kiborloni Municipal
Bei:55ml mazungumzo yapo.
Mwenye kuhitaji atanipata at 0762411561.
Sasa unamshaurije mkuu?Haya uzeni kwa hiyo bei sasa.
MOSHI PIA WAMEANZA KUUZA MASHAMBA, KWELI WACHAGA NAO PIA WAMEANZA KUWA ALOSTO...UKIMPATA WA MILIONI 25 HUYO NDIYO BOSSWana bodi wasalaam,
Shamba lina uzwa lenye ukubwa wa Ekari mbili.
Lipo Moshi Mjohoroni mbele kidogo shia lipo chini ya barabara kuu lami kata ya kiborloni Municipal
Bei:55ml mazungumzo yapo.
Mwenye kuhitaji atanipata at 0762411561.
Sawa kabisa ninalo lingine liko hapo lowasi miguu 110x100 ukiwa hapo unaona magari yakipita Main road
Hakuna ukame kuna makazi ya watu wewe huifahamu shia na tayari jirani ya hili shamba kuna mzungu amekuja kuwekeza hapa.
yaani mil 55 huko mafuriko yanajaaa huyu jamaa katushika sana pamekuwa shant town sasaHakuna hilo,Moshi naifahamu yote hilo eneo sio yale ya makazi ya Ukoo useme kwamba ni prime sana hadi ifike bei hiyo. Hilo eneo ni tupu na ni kame kabisa hakuna makazi ya watu hapo,na pia hilo eneo hakuna la ziada mpaka ifikie hiyo bei,kama hilo eneo lingekuwa ni KCMC angalau kidogo inge sound lakini sio hapo Mjororoni.
Mzungu wa st Dorcashuyo mzungu mwekezaji ndiyo yule aliyekamatwa majuzi analima bangi au?