gilishiphilomena
Member
- Feb 11, 2019
- 32
- 40
Shamba heka 22 naziuza zipo km 8 kutoka barabarani iendayo mtwara na km 100 kutoka mbagala , lipo Mkuranga kijiji cha miteza , Shamba halijawahi kulimwa. Maji yapo karibu. Lina hati ya kijiji, kila heka shilingi laki nane, Sina Dalali. Atakayependezewa namba zangu ni 0752363857.View attachment 1084160