25 tu? shilingi? elfu? au milioni?
Ndo mkoani hukuKama ni mjini bei hiyo sawa.
Lkn kama ni pembeni kabisa hebu anzia hata 5
Mbozi sehemu gani mlowo kalasha ama vwawa ili tujueHabari zenu wanajamii foroum! Last 3 weeks nilitangaza kuuza shamba! Nilikaa na madalari na wazoefu wa bei za viwanja wakanipa bei
Shamba lipo barabarani kabisa suitable kwa Filling Station,Hospital,Shule,Hotel yenye parking ya kutosha ofisi n.k
Hekari mbili 2 kasoro bei 25 tu
Sent using Jamii Forums mobile app