Shamba Linauzwa lipo msata

Shamba Linauzwa lipo msata

TarimoJr

JF-Expert Member
Joined
Feb 13, 2013
Posts
224
Reaction score
130
Shamba Lina Ukubwa Wa Ekari Tano Na Nusu.
Lipo Msata Mita Chache Kutoka Barabara Iendayo Tanga Na Pia Mita Chache Kutoka Barabara Iendayo Bagamoyo. Ni Eneo Zuri Hasa Kwa Wenye Lengo La Uwekezaji Mdogo Au Makazi.

Bei Ni Milioni Themanini Na Mbili, Ila Milango Ya Maelewano Bado Haijafungwa.
For Those Who Are Interested, Pm Me.
 
82,000,000. Ekari 5.5. Lina hati? Kwa nini bei ni kubwa namna hiyo mkuu? Mimi natafuta ekari tatu...
 
Msata??? 5 ekari kwa 82M??!!!! Wakuu tujulisheni Msata kuna fursa zipi mpaka shamba likauzwa kwa bei hiyo??
Hapa Robo Heka Inauzwa Mpaka M10.
Ndio Kunapambazuka Huku, Kwahiyo Fursa Bado Nje Nje
 
hata ukitoa sifuri moja mwisho hupati mteja, kwani shamba lako ni mgodi?
 
Mkuu hiyo bei sio rafiki na mazingira...hapo hapo msata kihangaiko 2.5km kutoka barabaran ekari moja ni 300000.
 
Mkuu hiyo bei sio rafiki na mazingira...hapo hapo msata kihangaiko 2.5km kutoka barabaran ekari moja ni 300000.
Mi Bei Yangu Hiangalii Mazingira, Maana Swala La Uzuri Au Ubaya Wa Mazingira Ni Mtazamo Wa Mtu Binafsi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom