Shamba linauzwa lipo Kibamba

Shamba linauzwa lipo Kibamba

Mais

Member
Joined
May 5, 2013
Posts
56
Reaction score
12
Shamba lenye ukubwa wa ekari 5 linauzwa, lipo Kibamba. Bei ni sh milioni 30.
Kwa maelezo zaidi wasiliana na: 0713 747580 au 0713 767789
 
Sina hamu na Kibamba, nilionyeshwa shamba zuri lapata ekari tatu karibu sana na barabara ya Morogoro, machale yakanicheza kabla ya kumtafuta mwenyekiti wa kijiji, kesho yake asubuhi nikaenda kutembelea maeneo ya jirani na shamba nililo onyeshwa, nikakutana na kibao kikubwa kimeandikwa; Hili ni eneo la jeshi huruhusiwi kuingia, kulima au kujenga.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom