Shamba linauzwa kwa bei nafuu

Shamba linauzwa kwa bei nafuu

Lubar

Member
Joined
Apr 30, 2013
Posts
14
Reaction score
0
Habari za leo wakuu.
Ninauza shamba langu nimepata shida,lipo Kijaka kata ya Kimbiji wilaya ya Temeke,lina ukubwa wa heka 1 bei ni sh mil 5 hakuna dalali.
Kwa mawasiliano no ni 0768334637.
Natanguliza shukurani.
 
Habari za leo wakuu.
Ninauza shamba langu nimepata shida,lipo Kijaka kata ya Kimbiji wilaya ya Temeke,lina ukubwa wa heka 1 bei ni sh mil 5 hakuna dalali.
Kwa mawasiliano no ni 0768334637.
Natanguliza shukurani.

Lipo umbali gani Kutoka barabarani?

Na je unapita kiwanda cha mikate karibu na Njia panda ya kwenda baharini?
 
Shamba lipo mita 100 kutoka barabara kuu iendayo baharini,kumbuka Xfactor,hii ni Kijaka ya mwenyekiti Biko.
 
Jamasike kama huna hela nyamaza usikatishe watu tamaa,Kimbiji kuna bahari unasema hamna ishu?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom