Shamba linauzwa Kondoa

Shamba linauzwa Kondoa

Musaru

Member
Joined
Jul 5, 2015
Posts
38
Reaction score
24
Habari! nauza shamba,liko kijiji cha kisande wilaya ya kondoa, lina ukubwa wa eka 5 linafaa kwa kilimo cha mahindi,vitunguu,alizeti na mazao mengine. bei ni 300,000 kwa eka.karibuni.
 
Habari! nauza shamba,liko kijiji cha kisande wilaya ya kondoa, lina ukubwa wa eka 5 linafaa kwa kilimo cha mahindi,vitunguu,alizeti na mazao mengine. bei ni 300,000 kwa eka.karibuni.

Kijiji cha Kisande kipo location gani hapo Kondoa? Ungetaja na Kata au hata Tarafa.

Ila pia, ungeweka na namba yako ya simu ili tukupigie kwa ufafanuzi.

Mimi natafuta shamba Kondoa, na nilikuwa nataka zaidi maeneo ya Mrijo au Chemba.

Kisande ni wapi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom