Shamba linauzwa Kimanzichana

Shamba linauzwa Kimanzichana

Bize Bize

Member
Joined
Nov 27, 2012
Posts
29
Reaction score
9
Habari zenu jamvini!!
Shamba linalokadiriwa kuwa na heka 20 lipo maeneo ya Kimanzichana wilaya ya Mkuranga mkoa wa Pwani.
Shamba limepandwa nanasi na mipapai, lakini pia lina michungwa. Kumejengwa nyumba nzuri ya bati ya vyumba viwili, banda kubwa la kufugia kuku wa kienyeji, banda dogo la mbwa, kisima cha maji ya kunywa. Shamba limesafishwa kwa kufyekwa na kung'olewa visiki kama heka tano. Lipo km 2 toka barabara ya Kilwa, barabara kwenda shambani ni nzuri inafikika masika na kiangazi barabara hiyo inakwenda pwani ya Kisiju.
 
Bei ni Tshs. 25m.....

kwa atayehitaji ani-whatsapp 0787519910 nitamtumia picha za shamba na hivyo nilotaja hapo juu...
Karibuni wadau....

Ngoja tukutafute mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom