Shamba linauzwa kahama

Shamba linauzwa kahama

don g dou

Member
Joined
Jul 6, 2017
Posts
73
Reaction score
9
Kama kichwa cha habari kilivyosema nauza shamba langu ekari kumi lipo kahama bei ni milioni 7 tu shamba linakubali kulimwa mahindi maharage pamba karanga nk
 
Kahama sehemu gani mkuu. Weka tangazo linalojitosheleza.
 
Kama kichwa cha habari kilivyosema nauza shamba langu ekari kumi lipo kahama bei ni milioni 7 tu shamba linakubali kulimwa mahindi maharage pamba karanga nk
Kilometre ngapi kutoka Kahama mjini?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom