Shamba linauzwa Iringa

slick

Member
Joined
Feb 13, 2014
Posts
23
Reaction score
0
Kwa wote wanaotaka shamba kwa ajili ya kilimo cha miti au mazao tofauti.. Ninauza shamba la ekari 589,
*Mto usiokauka umepita katikati ya shamba,
*Barabara nzuri mpaka shambani pia km 50 kutoka iringa mjini mpaka shambani.
Kwa mawasiliano: 0718 835 549
 
Bei yake ni sh ngapi kwa eka kama mtu hataki shamba lote
 
uwazi wako uwaminifu wako...
 
Yeyote alieserious anahitaji shamba anipm tufanye mazungumzo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…