E Ellymo Member Joined Feb 16, 2017 Posts 6 Reaction score 1 May 7, 2018 #1 Habari Wandugu, Shamba linauzwa maeneo ya Masaki mkoa wa pwani(heka 10@1,000,000=10,000,000/=)
sky walker JF-Expert Member Joined Feb 3, 2018 Posts 1,160 Reaction score 834 May 7, 2018 #2 lina kibali au ndo ile kuja kunyang'anywa na serikali tena, maana saizi kila kitu ni kibai mkuu
falcon mombasa JF-Expert Member Joined Mar 5, 2015 Posts 9,213 Reaction score 9,334 May 7, 2018 #3 Wajasiriamali
E Ellymo Member Joined Feb 16, 2017 Posts 6 Reaction score 1 May 7, 2018 Thread starter #4 sky walker said: lina kibali au ndo ile kuja kunyang'anywa na serikali tena, maana saizi kila kitu ni kibai mkuu Click to expand... Mkuu kibali kipi kutoka Wizara ya Ardhi???
sky walker said: lina kibali au ndo ile kuja kunyang'anywa na serikali tena, maana saizi kila kitu ni kibai mkuu Click to expand... Mkuu kibali kipi kutoka Wizara ya Ardhi???
sky walker JF-Expert Member Joined Feb 3, 2018 Posts 1,160 Reaction score 834 May 7, 2018 #5 Ellymo said: Mkuu kibali kipi kutoka Wizara ya Ardhi??? Click to expand... sasa shamba tuta uzianaje
Chupayamaji JF-Expert Member Joined Sep 19, 2017 Posts 5,780 Reaction score 13,684 May 7, 2018 #6 falcon mombasa said: Wajasiriamali Click to expand... Mbna haifunguki