M mama cha Senior Member Joined Aug 2, 2011 Posts 115 Reaction score 9 Feb 25, 2012 #1 lipo katika kijiji cha lugwadu wilaya ya mkuranga. Ni km 6 kutoka barabara kuu ya kongowe kigamboni na km 24 kutoka ferry na km 8 kutoka kongowe. Shamba lina ninazi mikinda na mikorosho. Anayehitaji ani-pm
lipo katika kijiji cha lugwadu wilaya ya mkuranga. Ni km 6 kutoka barabara kuu ya kongowe kigamboni na km 24 kutoka ferry na km 8 kutoka kongowe. Shamba lina ninazi mikinda na mikorosho. Anayehitaji ani-pm
TIMING JF-Expert Member Joined Apr 12, 2008 Posts 31,586 Reaction score 18,736 Feb 25, 2012 #2 aisee, nina eka mia nauza milioni mia mkuranga
Shark JF-Expert Member Joined Jan 25, 2010 Posts 29,972 Reaction score 30,152 Feb 25, 2012 #3 MTM said: aisee, nina eka mia nauza milioni mia mkuranga Click to expand... Eka 100 nyingi sana mkuu wangu, Nsaidie eka 10 kwa Tshs 10Mil. "Kilimo Kwanza"
MTM said: aisee, nina eka mia nauza milioni mia mkuranga Click to expand... Eka 100 nyingi sana mkuu wangu, Nsaidie eka 10 kwa Tshs 10Mil. "Kilimo Kwanza"