Ni kweli anachosema obama wa bongo,eneo la mgogoro lipo ni kwamba watu walivamia lakini wameondolewa.Ila shamba linalouzwa halipo mahali hapo.Lipo baada ya mabwepande secondary,unapita msitu wa mabwepande unaingia kushoto,shamba linatazamana na wazo hill na pia ni karibu na mbopo secondary.Hakuna utapeli wowote kuhusu shamba hili wadau.