gar la kukodi halifiki..any way lengo kuu nauliza mazao gani yanastawi kwenye hilo Shamba na upatikanaji Wa maji upoje.,gari binafsi inafika mpaka shambani.kwa mawasiliano 0714 621548 au 0784621548 maelewano pia yapo
Shamba linauzwa lina ukubwa wa hekari tatu.bei ya kila hekari ni millioni mbili na laki nane.lipo kijiji cha mwanzo mgumu chanika,gari binafsi inafika mpaka shambani.kwa mawasiliano 0714 621548 au 0784621548 maelewano pia yapo[/QUOTE
Shamba nalitaka lakini limenikuta pabaya" ,ukihitaji malipo kwa awamu nifahamishe