Shamba linauzwa (bwawani)

Shamba linauzwa (bwawani)

baraka607

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2010
Posts
844
Reaction score
168
SHAMBA LINAUZWA EKA 25 LIPO MAENEO YA BWAWANI (magereza) MPAKANI MWA PWANI & MOROGORO KM CHACHE TOKA BARABARA KUU BEI 8,000,000/= wasiliana 0659-357166
 
1. Je shamba limepimwa na lina hati?
2. Je, shamba lina mazao?
 
kiongozi shamba halijapimwa, ila lina hati ya kimila pia halina mazao.
 
Haliko katika maeneo ya Jeshi? au katika maeneo ya Wamimbiki WMA?
 
Vipi hali kaka, Hilo.shamba linafaa kilimo gani? Na je lina miti gani ya kudumu?
 
pale bwawani ni pakame sana bwana, labda useme mambo gani yawezafanyika hapo.
 
Liko pazur kw inshu ya ukame no. Coz kuna mkondo wa maji unapita ktkt. Na kuna miti kadhaa ya mbao.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom