Kimwakaleli
JF-Expert Member
- Apr 16, 2018
- 12,212
- 17,006
Ndio kuna biashara zinaweza kufanyika bila documents, mfano, nyama buchani, kununua nyanya, kulima mashamba nk au wewe unamaanisha nini?
Ndio kuna biashara zinaweza kufanyika bila documents, mfano, nyama buchani, kununua nyanya, kulima mashamba nk au wewe unamaanisha nini?
una pangaje matumizi eneo la mtu bila kumlipa fidia ya eneo kama una liitaji... ebu nifafanulie mkuuNimekusoma ila tatizo la Dodoma kwa sasa maeneo mengi yameshapangiwa shughuli. Wenyeji wanayauza ili kukwepa msala. Manispaa walishatoa angalizo kwa baadhi ya maeneo ikiwa ni pamoja na huko Nala. Sasa umeshaangalia matumizi yaliyopangiwa eneo hilo linalouzwa??
hizo shule alizo zisema wana soma wakazi wa wapi au zita vujwaa... au watu hawata ruhusuwa kukaa karibu na mashule na mavyuo... uoga wako ndio umasikini wako... chukua maeneo hayo kama una pesa... soma vizuri maelezo yake ndipo ujenge hoja iliyo simama...TAHADHARI: KUNA MAENEO YAPO NALA YAMETENGWA KWAAJILI YA TAASISI ZA SERIKALI NA YAPO MAENEO YA HIFADHI UKIINGIA KICHWA KICHWA UNAINGIZWA JIJINI.
KARIBUNI DODOMA (MTOA MADA SAMAHANI SANA)
Haya nunua, kila la kheri na hiyo fursa ya chuohizo shule alizo zisema wana soma wakazi wa wapi au zita vujwaa... au watu hawata ruhusuwa kukaa karibu na mashule na mavyuo... uoga wako ndio umasikini wako... chukua maeneo hayo kama una pesa... soma vizuri maelezo yake ndipo ujenge hoja iliyo simama...
kama IFM wakija jenga chuo wewe uoni utajenga Hostel??? au fursa nyinyi mna zichukuliaje...?? hacheni kutishana
Mkuu ninapafahamu na nina viwanja NALA na CHIGONGWE pia kwahiyo natoa tahadhari tu maana kuna maeneo ya mamlaka ya maji safi Dodoma lakini wananchi wanayatumia na wengi wameuziwa bila kujua, viongozi nao wana saini so nawaambia Nala, Lugala si mahali pa kuingia kichwa kichwa hasa kama wewe ni mgeni. Nashauri mnunuzi aanzie manispaa - Ardhi kuangalia matumizi ya ardhi ya eneo husika kabla ya kununua.hizo shule alizo zisema wana soma wakazi wa wapi au zita vujwaa... au watu hawata ruhusuwa kukaa karibu na mashule na mavyuo... uoga wako ndio umasikini wako... chukua maeneo hayo kama una pesa... soma vizuri maelezo yake ndipo ujenge hoja iliyo simama...
kama IFM wakija jenga chuo wewe uoni utajenga Hostel??? au fursa nyinyi mna zichukuliaje...?? hacheni kutishana