Ni kweli wanajiandaa kupima ni right lakin nala imegawanyika sehem nyingi eneo ambalo wanataka kupima ni eneo.la nala barazani ambapo kwa sasa ukienda kununua eneo unauziwa kama kiwanja lakin ukifika pale nala baradhan kuna vibao vimeandikwa "Shule ya msingi lugala,Zahanati ya lugala" i mean nala ya lugala kwa sasa huwa panauzwa kama shamba sababu bado hakuanza kupimwa na wala hakujahakikiwa wejyeji wanauza maeneo kwa sababu ya shida lakin hii kwetu ni kama fursa maana unanunua leo kama shamba mwaka.mmoja mbele heka yako moja unakuja kuigawa mara mbili halaf unauza kama kiwanja kwa bei nzuri kabisa na ni eneo lenye fursa nyingi maana kuna taasisi nying zimenunua jiran na mitaa hiyo kama vile Suma Jkt, IFM, Waziri mkuu pia amenunua kama heka 20 maebeo hayo hayo. Mimi pia nimenunua shamba huko ila ninaishi mjini na hilo enei ninalolitangaza ni la jirani yangu huko shambani na ni mwenyeji wa nala huko huko kaniomba nimtafutie mteja ndy maana nikatangaza humu lakini ningekuwa na pesa mm mwenyew ningelichukua sababu najua ni faida ya baadaye.
Sent using
Jamii Forums mobile app