Shamba linapatikana Visiga, KIbaha - Pwani

Shamba linapatikana Visiga, KIbaha - Pwani

Joband

Member
Joined
Dec 21, 2013
Posts
17
Reaction score
7
Habarini wakuu,

Shamba lenye ukubwa wa ekari kumi (10) linapatikana Visiga kati wilaya ya Kibaha mkoani Pwani.

Lina miti ya aina mbalimbali kama vile mikorosho, minazi na miembe.

Kwa mawasiliano zaidi wasiliana na hizi namba;

0713 009 695 au 0765 365 326.

Asanteni.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom