Shamba linahitajika

Governor of Bettors-GB

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2013
Posts
11,036
Reaction score
10,477
Wakuu kuna Friend of my Brother muzungu wa madiba,amenitumia request,nimeona ni share na wadau.

"Quote"
I am looking to buy a small package of land to start with of any size, in any Region
I am interesting in woodland or agricultural land,
If you can help in anyway please send any details.

Haya tirirkeni na Data zenu mpaka kesho niweze kumtumia.
 
100 acres in Iringa
 
Hivi foreigner kwani anaruhusiwa KUMILIKISHWA ardhi nchini Tanzania??
 

Waogopeni kama ukoma hawa madalali tapeli.Hakuna kitu hapa!
 
Ninalo Oyoyo Mkuranga,Pwani.14 acres na umeme upo 100m kutoka kijijini na lipo njiani.6km kutoka Kilwa Road.Unsurveyed ila lina hati ya kijiji.Bei ni 7m per acre pia nauza ata kuanzia hekari mbili kwa wanunuzi wadogo.Picha nitumie email kwa PM.
 
hawaruhisiwi sijui jamaa hajui
Hata Residents au Mtanzania yoyote hakuna anaemiliki ardhi,hata kama umejenga nyumba jua umekodishwa na serikali ikitaka inakupa compensation ya lease,kisha mpango unaendelea.
Kwahiyo mtu anaposema kununua hana maana hiyo inayofikiriwa na ndio maana utasikia mtu anakuambia nimenunua kiwanja,sio kwamba ni mali yake kisheria.
 
Ninalo Oyoyo Mkuranga,Pwani.14 acres na umeme upo 100m kutoka kijijini na lipo njiani.6km kutoka Kilwa Road.Unsurveyed ila lina hati ya kijiji.Bei ni 7m per acre pia nauza ata kuanzia hekari mbili kwa wanunuzi wadogo.Picha nitumie email kwa PM.
Poa mkuu nimekutumia email
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…