Kindege inakuwaje Shamba Halina hati mkuu.
Maana najua zipo hati za Kijiji ambazo wamiliki wamekabidhiwa.
Sasa kama halina hati hapo mtu yoyote atasema lake.

Njoo pm nikupe shamba lenye barua ya offer. Mara nyingi tunakuwa na hati zaidi ya moja bse kijiji hakiruhusiwi kuuza zaidi ya eka 50. Tunaweza kufanya mpango ukapata hati kamili.