Shamba Lililopimwa Lipo Kibaha Bei Rahis Sn

Shamba Lililopimwa Lipo Kibaha Bei Rahis Sn

Chebbyy

Member
Joined
May 21, 2017
Posts
19
Reaction score
6
Shamba lililopimwa lipo kibaha, njia rahisi na fupi ni ya kupitia bagamoyo road ukivuka daraja linalotenganisha bunju na bagamoyo upande wa kushoto uelekeo wa bagamoyo kuna barabara iliyochongwa vizuri, umbali ni kilometa 7 kutoka bagamoyo road kwenda shambani yaani kutokea baobab sekondari hadi shambani, shamba lipo kwenye barabara pia iliyochongwa vizur nayo.
Shamba lenyewe lipo wilaya ya kibaha, kata ya saangani sehemu inaitwa kidimu, shamba lina jumla ya hekari 8 zilizopimwa zote, na linauzwa kuanzia hekari 1 sio kwa kiwanja kimoja moja, na pia kuna huduma za msingi kama vile maji, hospitali, umeme na mengineyo, yani ni mji tayar na kuna wakazi wengi tuu. Bei imepungua sasa

Hekari 1 bei 5.5 million, maongezi yapo kidogo sn, Me ndio mmiliki hakuna dalali hapa. Kama upo serious Please

Call/Sms 0789361555

684fb78172917aa549f3f868eb513e19.jpg

dae5da83a1266d6dd5461be53c701b7a.jpg

dbb6b79d1f47b07f12bc61e3ea68cd70.jpg

e33732cec07f8596891a3dd313583f47.jpg

aab9954dbadc3ace2a2cf5bfdbde93a8.jpg

4f8b58d883bd0340dcbd7f5e7018a8f5.jpg

8471ae45629a03412f6e8547a4b91b06.jpg

a78205e16cf8bc64eb49bd4f5cb30318.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom