Shamba lililopimwa lipo karibu na Baobab secondary Bagamoyo Road linauzawa

Chebbyy

Member
May 21, 2017
19
6
Shamba lililopimwa lipo bagamoyo karibu na shule ya sekondari baobab kilometa chache kutoka bunju, shamba lenyewe lipo kata ya saangani sehemu inaitwa kidimu kilometa 6 tuu kutokea barabara kuu ya bagamoyo road hadi shambani.
Shamba lina jumla ya hekari 8 zilizopimwa zote, na linauzwa kwa hekari.
Hekari 1 bei 12 million.

d3ebe8f5c22644bdf130e4970d65fa55.jpg

31de845a950df063338851e998446986.jpg

8cce08299d24d325f1ceefb9e29a4034.jpg

83ef6e09efe7707dd121f1be97f4bc05.jpg

2d5b432dc026532c2c1ebf5a9253325a.jpg

8101953d4e969c0c54d3560002be18c9.jpg

483ce9614b8dfe6a142460766248975a.jpg

eb885bf5c309c0d23a5ef3ebe9dcfa1a.jpg


For serious buyer tuwasiliane 0713706675.
 
Mkuu baobab ipo barabarani kabisi then unasema shamba lipo karibu kumbe kuna 6km toka main road.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom