merere denis
Member
- Aug 24, 2011
- 9
- 1
Shamba lipo Tanzania, mkoa wa pwani eneo la msata lina ukubwa wa ekari 30, halijawahi fanyiwa shughuli yoyote ile. Ni bado pori. Lina faa kwa ufugaji na shughuli za Kilimo kama mahindi,maharage, mbaazi, ufuta, mihogo, choroko pamoja na korosho.
Kwa maelezo zaidi Ninapatikana kwa namba 0693410942.
Kwa maelezo zaidi Ninapatikana kwa namba 0693410942.