Shamba lenye miti ya mbao linauzwa

Shamba lenye miti ya mbao linauzwa

gwivaha

Member
Joined
Apr 29, 2017
Posts
47
Reaction score
17
IMG-20170706-WA0001.jpg
IMG-20170706-WA0000.jpg
IMG-20170706-WA0003.jpg
IMG-20170706-WA0008.jpg
bei ni million nane na nusu
Kwa mawasiliano whatsap 0764426929,0742188846 na 0655726929
Miti IPO mkoan NJOMBE ktk tarafa ya Lupembe
Shamba linauzwa pamoja na ardhi
 
Shamba lina ukubwa gani? Na umepanda miti ya aina gani na umri wake?
 
Acha masihara ya shamba la mit ya mbao liuzwe kwa M8 tu...ebu tupe sababu ya kuishafanya hyo biashara ya kanisa...
 
Acha masihara ya shamba la mit ya mbao liuzwe kwa M8 tu...ebu tupe sababu ya kuishafanya hyo biashara ya kanisa...


Njaa haina baunsa mkuu, usiombe upatwe matatizo, unaweza kuweka wife rehani...

Huwezijua jamaa kipi kimemsibu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom