Ambatanisha picha na majibu ya maswali yafuatayo
1. Shamba linamilikiwa na watu wangapi?
2. Shamba lina hati miliki?
3. Hakuna mgogoro wa zamani kuhusu ilo shamba au wa sasa?
4. Ekari moja kwa sasa ina wastan wa miti mingapi?
5. Je shamba lako liko sehemu sahii kulingani na ramani ya matumizi ya Ardhi ya eneo husika?
6. Shamba ni la urithi?
Ukijibu kwa ufasaha Wateja wenye nia utawapata japokuwa kwa wanunuzi wanaoishi mikoani siwashauri kwani watu wa eneo hili huwa na tabia kama za watu wa kibaha.
Yaani eneo ilo ilo linauzwa kwa watu 10 tofauti alafu muuzaji anatokomea kusikojulikana aka kibiti