Shamba lenye hati linauzwa

Shamba lenye hati linauzwa

merere sports

Member
Joined
Jan 19, 2018
Posts
17
Reaction score
9
Shamba ni pori halijawahi kufyekwa, lipo bagamoyo, msata road kiwangwa kijiji cha Mwetemo. Shamba lina hati na pia lina ukubwa Wa ekari 24 na bei yake ni Tsh 12,000,0000. MAELEWANO YAPO. Kwa mawasiliano tupigie 0677875088
 
Nahitaji vifaa vya michezo
 
Ekari 24 Kwa Tsh 12,000,000
Last week niliitiwa shamba Msata kwa lina ekari 15 nilipoliona tu nikashangaa udogo wa size yake nilipochukua coordinates nikakuta ni ekari 6 tu!
Sasa Kesho asubuhi nitakuwa shambani Bago ni jirani na hapo
Nitakuja kuliona na kuchukua coordinates nikokotoe na kuhakiki ukubwa wa eneo! Nitakupigia!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom