Shamba lenye miti ya mbao (pines) iliyotunzwa vizuri linauzwa Njombe ukubwa ni robo heka miti ina mika 4 tokea kupandwa kwake na inategemewa kuvunwa baada ya miaka 4.Shamba lipo eneo la Magoda
Vipi jamaa wa misitu na nyuki wanalitambua hilo shamba..?
je lina miti aina gani isije kuwa miti ya mitiki kama waliyokata bandari jana
Vipi kuhusu kodi, imelipwa kama inavyostahili..?
Taratibu zote za kulima kwenye eno hilo zimefuatwa ikiwemo pamoja na malipo stahiki.
Shamba liko Magoda, lina miti ya mbao aina ya pines na ina muri wa miaka minne na miti ipo si chini 220 katika hiyo robo heka.
Vipi jamaa wa misitu na nyuki wanalitambua hilo shamba..?
je lina miti aina gani isije kuwa miti ya mitiki kama waliyokata bandari jana
Vipi kuhusu kodi, imelipwa kama inavyostahili..?