Wekaa namba za simu...tuwasilianeZipo heka 30,
Mazungumzo unakaribishwa.Ni shamba langu kabisa so halina utata.
Wekaa namba za simu...tuwasiliane
Mawasiliano yakoShamba la heka 20 linauzwa Njombe,kando kabisa ya barabara ya Songea.Lina miti ya mbao aina ya Pines yenye miaka minne.Bei ni sh Milioni moja kwa heka.Lipo eneo zuri na linafikika kwa urahisi sana.Kwa anayehitaji,tafadhali nitumie ujumbe Private.