kitumbotala
JF-Expert Member
- Aug 6, 2015
- 516
- 625
Wakuu habari za jioni!
naomba msaada mwenye uelewa au ufahamu wa mashamba ya kukodi maeneo ya Mkuranga au kigamboni ambapo patafaa kulima Matikiti Maji, kuwe na mazingira ya maji kwa aajili ya umwagiliaji.
Naomba tuwasiliane tafadhari.
Njoo PM Tuwasiliane