Shamba la kukodi dsm

Shamba la kukodi dsm

Huwezi kupata kupitia Jf,hiki ni kijiwe cha stori tu
 
shogaangu ninalo kongowe heka tisa na makurunge ya ruvu kupitia bagamoyo heka kumi ila sijapafyeka
 
unahitaji wapi hasa njoo huku kigamboni nnalo, hata ukitaka nikuuzie, ukitaka kukodi usilete swine
 
Tafadhali wasiliana nami ninalo shamba nauza bei nafuu ekari 15 mkuranga ...

__________
Mr. Kibanda
0769636496
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom