Shamba la hekari 16 linauzwa

Shamba la hekari 16 linauzwa

Akiri

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2010
Posts
1,445
Reaction score
216
Shamba lipo Mkamba mbele kidogo ya Kimanzichana, lina hekari 16 halipo mbali na barabara kuu. Umeme pia haupo mbali. Mkamba ipo njia ya kwenda Kibiti Lindi ni kama 25 km toka Mbagala. Eneo linafikika kirahisi kwa gari au pikipiki bei ni 40m anatakiwa mnunuzi wa shamba lote .

Tuwasiliane 0657145555 mimi ni dalali
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom