tuwe wakweli
JF-Expert Member
- Feb 15, 2014
- 223
- 59
hivi ukiotesha leo miti unavuna baada ya miaka mingapi
Sijaelewa hapo kwenye bei..!!
Heshima kwenu wawekezaji.Rejea kichwa hapo juu.Lipo Mkoan Iringa wilaya ya Kilolo sehemu za dabaga.Eneo hilo linafaa kwa kupanda miti ya mbao hasa PINES.Hali ya hewa na rotuba ni surpportive kwa shughul hiyo.Ekari 1 ni Tsh.140,000/=tu
NYOTE MNAKARIBISHWA.
hivi ukiotesha leo miti unavuna baada ya miaka mingapi
Bei huijaelewa kvp mkuu? ni laki moja na elfu arobaini tu kwa ekari 1.