Hili ni shamba lenye rutuba na lenye jumla ya ekari 128.
Bei kwa ekari moja ni shilingi 600,000 (Laki sita kwa eka moja)
Lipo umbali wa kilometea 5 tu kutoka Chalinze mjini,
Mwendo wa kama dakika 10-15 kwa gari kutokea chalinze mjini.
Anahitajika mnunuzi wa shamba zima.
Kwa mawasiliano:
dalalitz@yahoo.com au 0714591548