Shamba kwa Ufugaji linauzwa!

leipzig

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2013
Posts
2,766
Reaction score
1,716
Kuna heka 20 za ukweli zinauzwa Mwanzomgumu,kunafaa kuchimba kisima na pia kuna mradi wa bomba la maji unaendelea.Kuna nyumba ya bati,ni umbali wa 30 toka Chanika mjini.Bei ni za maelewano,Kama upo serious niPM faster!
 
Umbali ngani huo mkuu 30? Km au mile au meta mkuu?sh ngapi??
 
Kabla ya kuweka post .
Pitia kwanza
 
Vp. Mbona hukuweka na. Namba mkuu call me on 0767328063 kwa biashara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…