Papaa Kinyani
JF-Expert Member
- Feb 25, 2013
- 1,457
- 699
Shamba lenye uzio (block fenced) la ukubwa wa heka 2.5, lipo Dar - Madale - Kisauke likiwa na michungwa na mabanda ya kufugia kuku (full equiped with water drinkers) kuku wanaoweza kufikia elfu kumi linakodishwa. Eneo ni zuri pia kwa kilimo cha mbogamboga, mipapai, mananasi nk. maana maji ya kisima yapo.
Njoo uone upange bei, pia kama unataka kununua tutaongea.
Kwa muhitaji aliye serious tuu piga 0715274727 - Xhevior
Njoo uone upange bei, pia kama unataka kununua tutaongea.
Kwa muhitaji aliye serious tuu piga 0715274727 - Xhevior