Nsumbanzunya
Senior Member
- Jun 13, 2014
- 177
- 42
Shamba pamoja na mazao yake liko Tarime.Lina ukubwa wa ekari 8 na liko karibu sana na mji.Bei yake ni maelewano sema mazao yake nakwambia mapema unatakiwa ujipange ila hayasumbui katika kuuza kwani masadali hata wa pale huwa wanachukua ila bei yao hailingani na kenya,Somalia au waarusha.Kama uko tayari ni PM HALAFU NIKUSET wapi tukamalize mchongo