Kasema lina ukubwa wa ekari 300 na sio 3000. Kwa bei aliyotaja, ina maana kulinunua lote unahitaji milioni 18. Si bei mbaya, ila inabidi mtu uwe tayari kuishi kijijini Ihanga. Na hilo sio rahisi. Tuliozoea kukaa mjini kwenye umeme (wa shida) na maji (ya shida), sio rahisi kuhamia vijijini. Na kuliendesha toka Dar ni kijitakia hasara.