Mwita Mtu Mrefu JF-Expert Member Joined Sep 6, 2020 Posts 739 Reaction score 1,116 Jan 15, 2021 #1 Shamba linauzwa Mkoani Morogoro, wilaya ya Mvomero, kata ya Turiani, kijiji cha Dihinda. Shamba lina mitiki ndani yake, minazi, michungwa na miembe. Shamba lina ukubwa wa hekari 60, lina bonde na miinuko, maji yapo karibu ukichimba kisima. Shamba liko umbali wa KM 5 Toka Barabara ya Turiani - Tanga Bei ni mil 30 Your browser is not able to display this video. Maongezi kidogo yapo Shamba lina hati ya kimila. Mawasiliano :; 0744033555
Shamba linauzwa Mkoani Morogoro, wilaya ya Mvomero, kata ya Turiani, kijiji cha Dihinda. Shamba lina mitiki ndani yake, minazi, michungwa na miembe. Shamba lina ukubwa wa hekari 60, lina bonde na miinuko, maji yapo karibu ukichimba kisima. Shamba liko umbali wa KM 5 Toka Barabara ya Turiani - Tanga Bei ni mil 30 Your browser is not able to display this video. Maongezi kidogo yapo Shamba lina hati ya kimila. Mawasiliano :; 0744033555
Al Watani JF-Expert Member Joined Dec 28, 2014 Posts 22,514 Reaction score 34,143 Jan 15, 2021 #2 Room 106 said: Shamba linauzwa Mkoani Morogoro, wilaya ya Mvomero, kata ya Turiani, kijiji cha Dihinda. Shamba lina mitiki ndani yake, minazi, michungwa na miembe... Click to expand... Nahitaji acre 10 naweza kupata au lazima liuzwe kwa pamoja ?
Room 106 said: Shamba linauzwa Mkoani Morogoro, wilaya ya Mvomero, kata ya Turiani, kijiji cha Dihinda. Shamba lina mitiki ndani yake, minazi, michungwa na miembe... Click to expand... Nahitaji acre 10 naweza kupata au lazima liuzwe kwa pamoja ?
Mwita Mtu Mrefu JF-Expert Member Joined Sep 6, 2020 Posts 739 Reaction score 1,116 Jan 15, 2021 Thread starter #3 PTER said: Nahitaji acre 10 naweza kupata au lazima liuzwe kwa pamoja ? Click to expand... Nipigie tuongee mkuu haya.mambo hayashindikani
PTER said: Nahitaji acre 10 naweza kupata au lazima liuzwe kwa pamoja ? Click to expand... Nipigie tuongee mkuu haya.mambo hayashindikani
Mwita Mtu Mrefu JF-Expert Member Joined Sep 6, 2020 Posts 739 Reaction score 1,116 Jan 16, 2021 Thread starter #4 Available
T Tongo Elamu JF-Expert Member Joined Apr 26, 2020 Posts 2,904 Reaction score 4,404 Jan 16, 2021 #5 Wachawi huko balaaa
tang'ana JF-Expert Member Joined Apr 3, 2015 Posts 12,072 Reaction score 16,624 Jan 17, 2021 #6 Hao walaguru wanawezana wenyewe