Shamba ekari 6? Kibaha kwa Mathias halafu just one Kilometa from Morogoro road? Sema shamba hilo lipo eneo gani kwa usahihi ili tukalione, Kwa uzoefu wangu inatia mashaka makubwa sana na ni vigumu sana hivi leo ukupata eneo kubwa kama hilo karibu na Morogoro Road labda kama unataka kuuza eneo ambalo lipo wazi la marehemu Mzee Mathias mwenyewe, anyway lete info zaidi ili tukutafute mapema kabla kina Papa Msofe hawajavamia