salimkabora JF-Expert Member Joined Nov 10, 2012 Posts 2,441 Reaction score 654 May 12, 2016 #1 Linafaa kwa kilimo cha miwa ajili ya sukari eka moja milionoi 2; mwenye kuhitaji ani pm
Kisima Platinum Member Joined Oct 8, 2010 Posts 4,793 Reaction score 6,566 May 13, 2016 #2 Eka moja 2000000/= tshs au? Lipo sehemu gani(kijiji) huko mtibwa? Linafaa kulima mpunga? Kwanini bei kubwa namna hiyo?
Eka moja 2000000/= tshs au? Lipo sehemu gani(kijiji) huko mtibwa? Linafaa kulima mpunga? Kwanini bei kubwa namna hiyo?
adakiss23 JF-Expert Member Joined Jan 23, 2011 Posts 4,941 Reaction score 5,374 May 13, 2016 #3 Kisima said: Eka moja 2000000/= tshs au? Lipo sehemu gani(kijiji) huko mtibwa? Linafaa kulima mpunga? Kwanini bei kubwa namna hiyo? Click to expand... Unashangaa hujui kuwa sukari dili sasa
Kisima said: Eka moja 2000000/= tshs au? Lipo sehemu gani(kijiji) huko mtibwa? Linafaa kulima mpunga? Kwanini bei kubwa namna hiyo? Click to expand... Unashangaa hujui kuwa sukari dili sasa