Acha utapeli, mengi ya mashamba km 30 toka uvinza utakuta milima tu, uchawi mwingi uko, unaweza usilifaidi Shamba lako.Lipo km 30 kutoka mji wa Uvinza. Lina ukubwa wa ekari 30. Bei TSh milioni 3.
Mawasiliano 0786817145, 0768734611.
Changamkia Hii Fursa;
Endapo Utatuunganisha na mnunuzi halisi,
Nawe utapata mgao wako wa Commission..
Tunauza hizi Site;
Ingia;->>> Usisahau ku-Like page yetu;
View attachment 1182396
Ninaelewa sehemu nyingi ni ardhi ya mawe. Hili ninaloliuza liko jirani na mto Ruchugi. Ila sikupenda hiyo introductory comment yako lakini acha tu nitumie hekima nikae kimya.Acha utapeli, mengi ya mashamba km 30 toka uvinza utakuta milima tu, uchawi mwingi uko, unaweza usilifaidi Shamba lako.
Changamkia Hii Fursa;
Endapo Utatuunganisha na mnunuzi halisi,
Nawe utapata mgao wako wa Commission..
Tunauza hizi Site;
Ingia;->>> Usisahau ku-Like page yetu;
View attachment 1182396